Watu sita
wamefariki papo hapo na wengine 12 kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya iliyohusisha
magari manne iliyotokea eneo la Makongo karibu na hospitali ya Lugalo Dar es
salaam.
Baadhi ya
mashahuda wa ajali hii wamesema kuwa imesababishwa na uzembe uliofanywa na
dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta kwa kupita upande usio wake.