Monday, February 4, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dk. Jakaya Kikwete akihutubia wananchi katika sherehe za miaka 36 ya CCM zilizofanyika jioni ya leo kwenye uwanja wa Lake Tanganyika Mkoani Kigoma na kuhudhuriwa na wananchi mbalimbali waliojitokeza kushiriki katika sherehe hizo.
Wawakilishi wa vyama rafiki vya CCM kutoka nchini Burundi CNDD kinachotawala nchini humo, na PPRD kinachotawala nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Chadema, CCM wazichapa Dodoma
Kada wa Chadema Mkoani Dodoma, Arnold Swai akikimbizwa na wafuasi wa CCM jana, baada ya kutokea vurugu katika eneo la Mwanga baa, Dodoma
SHEREHE za miaka 36 za kuzaliwa kwa CCM jana ziliingia dosari, baada ya kuibuka vurugu kubwa kati ya wafuasi wa chama hicho na Chadema mkoani Dodoma wakati wakigombea eneo na mti wa kutundika bendera za vyama vyao.Vurugu hizo
zilizotulizwa na Polisi wa Kutuliza Ghasia (FFU), zilitokea jana mchana katika uwanja huo uliopo karibu na Baa ya Mwanga, baada ya CCM kung’oa bendera ya Chadema iliyokuwepo uwanjani hapo, ili waweke bendera zao kwa ajili ya mkutano ambao ulikuwa sehemu ya maadhimisho hayo.

JK aongoza matembezi ya mshikamano
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dk. Rais Jakaya Kikwete akiongoza
viongozi wengine wa chama katika matembezi ya mshikamano yaliyofanyika
leo mjini Kigoma asubuhi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kulia akiwa na Edward katika matembezi hayo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kulia akiwa na Edward katika matembezi hayo.
Jengo la ppf lanusurika moto
Moto umewaka katika ghorofa ya 11 ya jengo la PPF.kwa juhudi za zima moto taarifa zinasema kuwa moto umedhibitiwa na sasa hakuna moto tena
Subscribe to:
Posts (Atom)