Tanzania AsiliaLive...Pata vitu Asilia kutoka kwa waasilia.....
Tuesday, March 3, 2015
Ni kweli Hii
Jamani nimesikia kuna mtoto amezaliwa anaongea mjini morogoro na kusema kwamba kuna mvua itanyeesha kwa muda wa siku mbili hivyo watu wasitumie hayo maji baada ya hapo akafariki jamani kuna ukweli wowote juu ya hili tujuzane
No comments:
Post a Comment