Akizungumza katika kipindi cha
Amplifaya cha Clouds FM Jumanne hii, Idris alisema mpenzi wake huyo anatarajia
kupata mtoto baada ya miezi 6 au 7 hali ambayo imetafsiriwa na wadau wa mambo
kuwa huenda mwanadada huyo akawa na mimba ya miezi 3 au 2.
“Yes
very soon natarajia kupata mtoto kama miezi 6 au 7 ijayo,” alisema Idris. Pia
Idris alisema bado hajatambua jinsia ya mtoto anayetarajia kujifungua mpenzi
wake.
“No
hatujui mwenzangu anataka surprise. Mimi nataka kujua kabla kwahiyo bado
hatujafikia muafaka, naogopa nisije nikawa nanunua vigauni akaja Wa kiume
bure,” alisema.
Aliongeza,
“Huwezi kuwazuia watu kuongea, waache waongee maana sometimes watu ni wagumu kupokea
changes lakini siku zinavyoenda naamini wataelewa tu.”
No comments:
Post a Comment