Monday, October 22, 2012
Happy Birthday Baby Kamila
Baby Girl wetu akisubiri kukata keki
Wahooooo Kamila
Nice one
Kamilia akimlisha criss keki
Dad thanks
Mum kula keki 2yrs si mchezo jamani
duuuu keki tamu hiyooo thanks kamila
Mama wa asilialive apitwe noooo haiwezekani
Kamila akimbusu mdogo wake wahooo nice
Amina mdogo wangu kula keki heeee
Ashuya kula keki dada yangu
kula keki
Saturday, October 20, 2012
mahafali ya sinon teacher college leo tarehe 20th october 2012
Pendeza sana wanachuo
Mkuu wa chuo akihutubia katika mahafali
Mapacha
Mama na mwana
Mama na mwana
Asante kaka tumethamini ushirikiano wako ubarikiwe sana
Asante kameramani umetenda haki
Mgeni Rasmi Akitoa machache wakati wa kakata keki
Subscribe to:
Posts (Atom)


































































