Neil Amstrong
Buzz Aldrin yeye alikuwa wa pili kukanyaga mwezini nyuma ya Neil japo wote walikuwa katika mission moja hiyo ya Apollo 11.
Neil Amstrong alikanyaga kwa mara ya kwanza mwezini yeye akiwa wa kwanza July 20 1969
Alama hiyo ya mguu inaonyesha jinsi gani mwezini ni kama ardhi laini sana kama poda hivi.
Mission hiyo ya Apollo 11 ilifanyika mwaka 1969 na yeye akiwa kiongozi wa msafara wa watu watatu kuelekea mwezini.
Neil Amstrong kushoto na mwenzake Buzz Aldrin kushoto wakiwa tayari
mwezini na kuweka bendera ya Marekani.Walikaa mwezini kwa masaa matatu
tu.
Ilikuwa july 6 1969 wakijiandaa kuondoka huku wakipunga kuaga na yeye
mbele kabisa kuingia kwenye van iliyowapeleka kwenye rocket tayari
kuanza safari kuelekea mwezini.
Neil Amstrong amefariki dunia baada ya kutokea complications akifanyiwa
oparation ya moyo .Neil Amstrong amefariki akiwa na miaka 82.Dunia
itamkumbika kwa rekodi yake ya kihistoria ya kuwa binadamu wa kwanza
kuingia na kukanyaga mwezini.
Akiwa na Presedent Obama 2009.
No comments:
Post a Comment