Mimi ni Msandawe ingawa nimezaliwa mjini ila nafahamu nilikotoka wazazi na Babu zangu hasili ya kwetu ni nyumba hizi za tembe ndizo walizokulia wazee wangu pamoja na shida walizo pata bana wanajivunia kuwa mwaafrika tena msandawe kabila lisiloweza kuandikika hiyo ni moja kati ya vitu vya kujivunia ingawa kwa upande mwingine ni hasara sana
Hawa ni akina mama ambao ni majirani wa wasandawe yaani wagogo mkoani dodoma unajua hilo
Je watanzania tuna vazi la kitanazania ili tuweze kujivunia mimi na wewe. Kama una picha yako ya mavazi ya kabila yako tutumie tanzania asilialive ipo kwa ajili yako tuma kwa email, Asilialive@yahoo.com
No comments:
Post a Comment