Picha na Maktaba Barabara ya Darajani Visiwani Zanzibar. Askari wa
kutuliza ghasia wameshaanza kurusha mabomu ya machozi kutawanya kundi la
uamsho ambao wapo Barabara ya Darajani wanachoma matairi na kurusha
mawe kwa askari. Fujo hizo zimetokana na kukamatwa kwa kiongozi wa
Uamsho Sheikh Farid.
Huyu ndiye Kiongozi wa Kundi linaloitwa UAMSHO la Zanzibar Sheikh Farid aliyekamatwa huko Visiwani Zanzibar. Kundi hilo shughuli zake ni za mihadhara ya Kidini hasa ya Kiislam.
No comments:
Post a Comment