Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (Watatu kulia, waliobeba
jeneza) akishiriki kubeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa msanii wa
muziki wa kizazi kipya na filamu, Hussein Ramadhani maarufu kwa jina la
Sharo Milionea, alipokiwakilisha Chama Cha Mapinduzi, kwenye mazishi ya
msanii huyo, leo kwenye Kijiji cha Lusanga, Muheza Tanga.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa pole za Chama Cha
Mapinduzi (CCM) alipokiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye
mazishi ya aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu, Hussein
Ramadhani maarufu kwa jina la Sharo Milionea,leo kwenye Kijiji cha
Lusanga, Muheza Tanga
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nauye, akitupa mchanga kaburini,
alipokiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye mazishi ya aliyekuwa
msanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu, Hussein Ramadhani maarufu
kwa jina la Sharo Milionea,leo kwenye Kijiji cha Lusanga, Muheza Tanga.
Mkuu wa wilaya ya Muheza, Subra Mgalu akisoma salam za Shirika la Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) la Mama Anna Mkapa, kwenye msiba huo. Pamoja naye ni Nape
(Picha na Bashir Nkoromo).
No comments:
Post a Comment