Mkazi wa kijiji cha Slahhamo Kata ya Mbulumbulu Wilaya ya Karatu mkoani
Arusha, Thimos Mushi (51) akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati wa
mkutano wa kukusanya maoni ulioitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba
kijiji hapo jana jumatatu Novemba 19, 2012.
1. Mkuu wa Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, Daudi Ntibenda akizungumza
na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba (hawapo pichani) jana
jumatatu Novemba 19, 2012 wakati wajumbe hao walipofika ofisini hapo
kabla ya kuanza kazi ya ukusanyaji wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba
Mpya Wilayani humo. Kushoto ni mjumbe wa Tume, Bi. Mwantumu Malale.
Akina Mama wa kijiji cha Slahhamo Kata ya Mbulumbulu Wilaya ya Karatu
mkoani Arusha wakisoma nakala za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba katika lugha nyepesi wakati
wa mkutano wa kazi ya ukusanyaji wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya
ulioitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo jana
jumatatu Novemba 19, 2012
Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Charles Masero (mwenye shati jeupe) akitoa ufafanuzi kuhusu ujazaji wa fomu za maoni kuhusu Katiba Mpya kwa wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi cha Audry Veldan kilichopo kijiji cha Shahhamo Kata ya Mbulumbulu Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha wakati wa mkutano wa kukusanya maoni ya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kijijini hapo jana jumatatu Novemba 19, 2012.
Mkazi wa kijiji cha Slahhamo Kata ya Mbulumbulu Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, Thimos Mushi (51) akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati wa mkutano wa kukusanya maoni ulioitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijiji hapo jana jumatatu Novemba 19, 2012.
PICHA NA TUME YA KATIBA
No comments:
Post a Comment