Bila kujali mvua kubwa inayonyesha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiakata
utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo serikali
imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole,
Toangoma, Wilaya ya Ilala leo Desemba 13, 2012
Bila kujali mvua kubwa inayonyesha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua
kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo serikali
imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole,
Toangoma, Wilaya ya Ilala leo Desemba 13, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmoja wa walionufaika na hatua ya
serikali ya kujenga nyumba mpya 35 kwa ajili ya waathirika wa mabomu
Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala jana
Desemba 13, 2012. Mama huyu ambaye alipoteza mume, amejengewa nyumba ya
vyumba vitano pamoja na fremu ya duka
Baadhi ya nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa
mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala
kama zinavyoonekana leo Desemba 13, 2012 baada ya kuzinduliwa na Rais
Jakaya Mrisho Kikwete
Baadhi ya nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala kama zinavyoonekqana Desemba 13, 2012 baada ya kuzinduliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete
No comments:
Post a Comment