Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa
heshima zote baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo
Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais
wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William
Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua
mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta
jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne
wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto
katika uwanja wa michezo wa Kasarani .
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete na Balozi wa
Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burian wakipiga picha ya pamoja na
wasichana waliowazawadia mashada ya maua mara baada ya kutua katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari
kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru
Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa
michezo wa Kasarani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013. Mama Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burian wamesimama pembeni na wenyeji wao (picha zote na IKULU)
No comments:
Post a Comment