Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi na Waumini wa Kanisa
Katoliki la Olasiti Jijini Arusha May 7,2013 alikokwenda kutoa pole
kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo
May 5,2013 na kusababisha vifo na majeruhi.
Paroko wa Kanisa Katoliki la Olasiti la Arusha Peddy Castelino akiomba
wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipotembelea kanisa hilo May 7,2013
kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea
kanisani hapo May 6,2013 na kusabisha vifo na majeruhi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Partook wa Kanisa Katoliki la
Olasiti jijini Arusha, Peddy Castelino (kulia) May 7,2013 wakati
alipotembelea kanisa hilo May 6,2013 ambako ulitokea mlipuko wa bomu la
kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa Pole Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha,
Mhashamu Josephat Lebulu (kushoto ) na Balozi wa Vatican nchini, Askofu
Mkuu, Francisco Montecillo (katikati), May 7,2013 baada ya kutembelea
Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha ambako May 6,2013 ulitokea
mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa Pole Balozi wa Vatican nchini, Askofu
Mkuu, Francisco Montecillo , May 7,2013, baada ya kutembelea Kanisa
Katoliki la Olasiti jijini Arusha ambako May 6,2013 ulitokea mlipuko wa
bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi. Kushoto ni
Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment