Bw.Henry Kilewo akiwa na watuhumiwa wenzake wa mashtaka ya Ugaidi
yanayowakabili wakati walipofikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi mkoani
Tabora kwa mara ya kwanza
Ulinzi katika Mahakama hiyo uliimarishwa ipasavyo.
Wanachama wengine wa Chadema ambao wanahusishwa katika mashataka hayo ya
Kigaidi ambapo imedaiwa kuwa watuhumiwa walifanya makosa hayo ya Ugaidi
na kumjeruhi Bw.Mussa Tesha ambaye ni mwanachama wa CCM wakati wa
kampeni za uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Igunga mnamo tarehe 9/9/2011
katika msitu wa Hanihani huko wilayani Igunga.
Kamanda Henry Kileo ndani ya pingu akiwa ndani ya gari pamoja na wtuhumiwa wenzake wanne wakisubiri kupelekwa Gereza la Mahabusu hadi watakapoletwa tena Mahakamani hapo mnamo tarehe 8/7/2013.
No comments:
Post a Comment