Miss Tanzania Lilian Kamazima (kulia) akimkabidhi zawadi ya mwaka mpya
Msimamizi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha New Life kilichopo
Boko, Mwanaisha Magambo kwa ajili ya watoto 102 waliopo kituoni hapo,
tukio hilo lilifanyika juzi.
Miss Tanzania Lilian Kamazima (kulia) akiwa na Miss Kinondoni Maria
Shila wakiwa wamembeba mtoto aliekuwa kwenye kituo cha kulelea watoto
yatima cha New Life cha Boko, mtoto huyo alifikishwa hapo akiwa na siku
nne tu tangia kuzaliwa kwake.
Sehemu ya Watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima cha New Life kilichopo Boko,wakimsikiliza Miss Tanzania Lilian Kamazima.
No comments:
Post a Comment