*Aelezea uhusiano wake na Mwigulu, Lwakatare
*Asema yeye bado ni mwanachama hai wa Chadema, amkwepa Kibanda
SIKU chache baada ya Mahakama kumuachia kwa dhamana mshitakiwa mwenza wa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, Joseph Ludovick, amefunguka na kuelezea tuhuma ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake, ikiwamo uhusiano wake na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba.
Ludovick, ambaye anadaiwa kurubuniwa na Nchemba na hivyo kumrekodi Lwakatare wakipanga mipango ya kumdhuru Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mwananchi, Denis Msaky, alijitokeza juzi katika mtandao wa kijamii wa Mabadiliko na kuomba kuulizwa jambo lolote, kwa kile kilichoonekana kutaka kujibu tuhuma ambazo zimekuwa zikielekezwa dhidi yake.
Maswali na majibu yake ilikuwa ni kama ifuatavyo;
Tuesday, October 21, 2014
Asante Mungu u Mwema
Nakupenda baby wangu mungu akupe maisha marefu na afya njema Happy birthday my Precious 1yrs old Asante mungu
Thursday, October 9, 2014
Hi wapenzi wa Tanzania asilialive.blogspot .com
Habari za siku nyingi wapenzi wa tanzania asilialive kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wetu tunaomba radhi kutokuwepo hewani kwa muda mrefu.kwa sasa tunajaribu kurekebisha na punde tutakuwa hewani kuendeleza libeneke hili.
Asanteni sana by faulisa
Asanteni sana by faulisa
Sunday, June 22, 2014
Breaking News, Ajali iliyoua sita leo Dar es salaam.
Watu sita wamefariki papo hapo na wengine 12 kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya iliyohusisha magari manne iliyotokea eneo la Makongo karibu na hospitali ya Lugalo Dar es salaam.
Baadhi ya mashahuda wa ajali hii wamesema kuwa imesababishwa na uzembe uliofanywa na dereva wa daladala iliyokuwa ikitoka Tegeta kwa kupita upande usio wake.
Tuesday, May 6, 2014
jamani bomu tena kanisani jijini mwanza
Bibi Benadta alifred ajeruhiwa vibaya baada ya kufungua kitu asichokijua baada ya kukaa kwa muda sehemu ya kupumzikia eneo la kanisa hilo jijini mwanza. habari kamili na picha tunakuletea hivi punde..
Friday, May 2, 2014
Wednesday, April 16, 2014
Tumerudi wapenzi wa Tanzania Asilia live
Habari za siku natumaini wote mko powa. Baada ya kupotea kwa muda sasa Tanzania Asilia Live mtandao wako umerudi kukuletea mambo kedekedee tukiwa na mambo mengi yakukufahamisha kaa mkao wa kupata vitu vipya.
Tuesday, July 2, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)





