Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Hanifa
Masaninga (kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu mfumo uandaaji wa maoni ya
wananchi katika taarifa rasmi (Hansard) kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya
Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa
na Kaimu Katibu Mkuu, Bw. Jamanne Sagini (wa pili kushoto) wakati
waliotembelea ofisi za Tume hiyo
Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi.
Nenelwa Mwihambi (kulia) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa
maoni ya wanachi kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu,
Bw. Jamanne Sagini (Kaunda suti nyeupe) wakati waliotembelea ofisi za
Tume hiyo
Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Solanus
Nyimbi (kushoto) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya
wanachi kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu, Bw.
Jamanne Sagini (kulia) wakati waliotembelea ofisi za Tume hiyo
Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini (aliyesimama) akiwasilisha maoni ya wafanyakazi wa Ofisi hiyo kuhusu Katiba Mpya kwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika katika Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam
(PICHA NA TUME YA KATIBA)
No comments:
Post a Comment