Hizi ni picha ambazo zilitolewa bure na Beyonce na Jay Z miezi kadhaa iliyopita zikimuonyesha mtoto wao ambae wengi tulidhani wangeuza kwa mamilioni ya dola picha za mtoto wao kama walivyofanya mastaa wengine ikiwemo J.Lo!Ni miezi kadhaa toka mara ya mwisho dunia ilipomuona Blue Ivy kwa uwazi kiasi hiki.


No comments:
Post a Comment