Viongozi mbalimbali na wananchi wakiwa Karamjee Kuaga mwili wa mwaasisi wa CHADEMA BOB MAKANI.kwa picha zaidi tembelea www.mjengwablog.com
Monday, June 11, 2012
CCM ILIVYOFUNIKA JANGWANI Saturday, June 9, 2012
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe
akihutubia
Vijana wakishangilia kwenye mkutano wa CCM uliofanyika
leo kwenye Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli akihutubia
Vijana wakichangamka kurudisha kadi za Chadema mbele ya
Nape na Kinana ambazo chama cha chadema kilidai kuwa zilikuwa za fake wakihoji iweje zote ni mpya na zingine hazina hata majina.
Mamia ya kadi za vyama vya upinzani zilizorudishwa
Nape akichaza gita na bendi ya Vijana Jazz, Baadhi ya mabango
Wanafunzi UDOM wajitolea damu
Afisa habari wa Taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya
kwanza ya sosoholojia aliyemaliza rasmi muda wake leo ambaye pia ni Mmiliki wa
Mtandao wa LUKAZA BLOG Mh Josephat Lukaza akiwa tayari ameshamaliza zoezi la
uchangiaji wa Damu kwa Hiari ambalo liliandaliwa na taasisi ya wanafunzi
wanaosoma shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOMSSO)
zoezi lililofanyika leo Chuo Hapo.Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma
wakiwa Wanasubiri Kwenda Kutoa damu kwa hiari
TOVUTI YA NGOMA AFRICA YARUDI HEWANI
Web ya Ngoma Africa
band aka FFU hewani tena baada ya matengenezo ya masaa machacheTovuti ya bendi
maarufu ya dansi barani ulaya Ngoma Africa band hipo hewani tena baada
yakufanyiwa marekebisho fulani ya kiufundi kwa masaa machache jana Juni 10 ,
2012 , Kambi hiyo ya FFU at www.ngoma-africa.com inaendelea kumwaga burudani
kamiliya muziki kama kawaida masaa 24 kwa siku 7 za wiki. wadau wote mnaombwa
kuendelea kupata raha ya muziki bila kwikwi
bofya at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
AJALI JAMANI
Habari za Leo wadau wote. Jamani leo ningependa kuwaonya baadhi ya madereva
ambao hawako makini na kazi zao siku ya jana jumapili ya tarehe 10 /6/2012
nimeshuhudia ajali nne moja kati ya hizo ndugu zetu, walipoteza maisha
inasikitisha sana jamani.Embu tuwa makini sana tunapokuwa barabarani ili
kupunguza vifo jamani tunazalisha yatima jamani. TARAKARI CHUKUA HATUA.
Sunday, June 10, 2012
HONGERA TAIFA STARS
Kikosi cha Taifa Stars
kilichoanza mechi ya leo.
Taifa Stars imeilaza Gambia kwa
bao 2-1 katika mechi ya kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia
zitakazofanyika nchini Brazil 2014. Mabao ya Stars yamewekwa kimiani na Shomari
Kapombe na Erasto Nyoni. Kwa sasa Stars ina pointi 3 na inashika nafasi ya pili
katika kundi C linaloongozwa na Ivory Coast wenye pointi 4.
BOB MAKANI HATUNAYE TENA
Mzee Bob Makani enzi za uhai wake.Naibu Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania na Katibu Mkuu wa kwanza wa Chadema, ambaye pia amewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Bob Makani, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Agakhan jijini Dar es Salaam.
Habari za kifo chake zimetolewa na kuthibitishwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe, ambaye amesema kuwa, Bob Makani amefariki dunia, baada ya kuugua kwa muda mrefu, na mwili wake umehamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kufuatia kifo cha mwasisi huyo wa chama hicho, sasa Chadema wamekatisha ziara za kuimarisha uhai wa chama zilizokuwa zikiendelea katika mikoa ya kusini mwa Tanzania.
Saturday, June 9, 2012
Picha za maonesho ya Karibu Fair 2012 yaliyofunguliwa na Naibu Waziri, Nyalandu
Zifuatazo ni picha chache kati ya nyingi kutoka kwenye blogu ya tembeatz.blogspot.com zinazohusu maonesho hayo.Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu leo mchana amezindua rasmi maonesho makubwa ya sekta ya Utalii ya Karibu mjini Arusha. Baada ya kuwasili katika viwanja vya Maonesho, Nyalandu alipata wasaha wa kuzungumza na viongozi wa TTB, TATO pamoja na waandaji wa Karibu Fair 2012.
Mhe Nyalandu akiteta jambo na mwenyekiti wa shirikisho la tour operators Tanzania, Mhe Mustapha Akunaay (kulia). Wengine ni Sam Diah mmoja wa waratibu wa maonesho sambamba na Bi Devota Mdachi, Mkurugenzi wa Masoko wa TTB
Nyalandu akipata maelezo ya kampuni inayotoa huduma za helikopta hapa Tanzania ya Whirlwind. Anayempa Maelezo ni Capt. Neels ambaye alisema kampuni yake ipo mbioni kuleta helikopta 5 mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka huu. Madhumuni ya mpango huo ni kuzitawanya katika maeneo mbalimbali ya nchi hii ili ziweze kutumika kwenye huduma za dharura haraka pale zinapohitajika. Sasa hivi wana helikopta moja nchini.
Mojawapo ya sababu ya ziada ya kuzuru maonesho ya Karibu Fair 2012 mkoani Arusha katika Viwanja vya Magereza (karibu na Arusha Airport) ni kujionea hema la gorofa. Hema hili hutumika kwa malazi ya wageni wanapokuwa porini, hususan kwa wanaopenda kuweka kambi na kuacha kulala kwenye mahoteli. Moja ya makampuni yanayoshiriki Karibu Fair 2012 imeamua kuwaonyesha wageni na wadau bidhaa hii. Hema hili linahamishika.
Kampuni inayotoa huduma za helikopta hapa nchini ya "Whirlwind: aviation inayoshiriki maonesho ya karibu fair ilifanya safari ya dakika kumi kuuzunguka uwanja wa maonesho, na KK wa blogu ya TembeaTz alikuwa ni mmoja wa abiria wa safari hiyo.
Friday, June 8, 2012
KITABU CHA FURAHA HUJA ASUBUHI' (JOY COMES IN THE MORNING) KIMEZINDULIWA JIJINI DAR
Mkurugenzi Mtendaji wa MKUKI NA NYOTA
PUBLISHERS Bw. Walter Bugoya akitoa neno wakati wa uzinduzi wa kitabu cha
'FURAHA HUJA ASUBUHI' (JOY COMES IN THE MORNING) kilichoandikwa na Hopolang
Phororo kinachozungumzia Mateso na manyanyaso ya wasichana wadogo wakati wa
malezi yao na haki ya msingi ya jinsia ya kike katika jamii.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria
uzinduzi wa kitabu cha 'JOY COMES IN THE MORNING' uliofanyika jana jijini Dar es
Salaam.
USIKOSE NAKALA YAKO.
UMUHIMU WA ELIMU KATIKA TAIFA LETU
Mh.Lowasa alivyofanikisha uchangiaji wa elimu kata ya kipawa jijini dar, Jamii tuwe mfano wa kuigwa katika kuchangia maendeleo ya taifa letu.
Thursday, June 7, 2012
USIKATE TAMAA .
AsiliaLive: Asante marafiki wote waliokuwa nami katika kipindi...: Asante marafiki wote waliokuwa nami katika kipindi kigumu kilichopita, Naamini yote ni mipango ya mungu mwanadamu kupitia majaribu katika du...
Asante marafiki wote waliokuwa nami katika kipindi kigumu kilichopita, Naamini yote ni mipango ya mungu mwanadamu kupitia majaribu katika dunia hii. Kila mwanadamu ana mapito yake hivyo basi yatupasa tusikate tamaa bali tumtegemee mungu pekee yake kwani yeye ndie kila kitu. USIKATEE TAMAA WAKATI BADO ASUBUHI.
Saturday, November 19, 2011
Weekend Safari in Tanzania for Christmas & New Year
Tour
Information:
While you are in Arusha town or near by areas, don’t spend your week end there. Enjoy your week end by visiting Lake Manyara National Park the famous tree climbing lions, and Ngorongoro Crater, the eight wonders of the world.
While you are in Arusha town or near by areas, don’t spend your week end there. Enjoy your week end by visiting Lake Manyara National Park the famous tree climbing lions, and Ngorongoro Crater, the eight wonders of the world.
Tour
Itinerary:
Day 1: Arusha -Lake Manyara National Park
Early morning after breakfast, pick up from hotel your with packed lunch and proceed toLake Manyara National Park
for game viewing in the Northern part of the Park. Here expect to see game such
as buffaloes, elephants including the famous tree climbing lions. Break off for
refreshment and lunch at the picnic site. After lunch drive southwards, here
you will be greeted by bubbling hot
springs and a herd of hippos. Also expect to see a
variety of birds including pelicans, cormorants and thousands of flamingoes.
Late evening, drive to Manyara Twiga Campsite for dinner and overnight. Full
Board
Day 2: Ngorongoro Crater - Back to Arusha
After check out and early breakfast, with packed lunch transfer and descend to the crater floor for full day game viewing, while here expect to see a variety of birds including thousands of flamingoes and other water birds. The big game here includes the endangered black rhinos, elephant, zebras, hippos, gazelle, and predators such as lions, cheetahs, hyenas and leopards. Break for lunch at the picnic site and there after proceed with game viewing up to the late evening when you will ascend the crater and drive back to Arusha town.
End of Tour.
PRICE:
US $ 117 per person (camping - minimum 5 people traveling)
Tanzania Shillings 198,900 per person (Camping Accommodation)
Day 1: Arusha -
Early morning after breakfast, pick up from hotel your with packed lunch and proceed to
Day 2: Ngorongoro Crater - Back to Arusha
After check out and early breakfast, with packed lunch transfer and descend to the crater floor for full day game viewing, while here expect to see a variety of birds including thousands of flamingoes and other water birds. The big game here includes the endangered black rhinos, elephant, zebras, hippos, gazelle, and predators such as lions, cheetahs, hyenas and leopards. Break for lunch at the picnic site and there after proceed with game viewing up to the late evening when you will ascend the crater and drive back to Arusha town.
End of Tour.
PRICE:
US $ 117 per person (camping - minimum 5 people traveling)
Tanzania Shillings 198,900 per person (Camping Accommodation)
Price above includes:
- All park entrance fees.
- Transport on 4WD vehicle with the pop-up roof, which enable you to spot wildlife easier.
- Accommodation based on three meals a day.
- Crater fees.
- Camping fees.
- Mineral water 1.5lt per person per day.
- Salary for the
- Activities as per itinerary above
Price above exclude:
- International flight
- Accommodation on arrival and night after safari in Arusha town (we can arrange on request)
- Airport transfers (we can arrange on request)
- Hot and cold drinks
- Hot Air Balloon ride over Serengeti, book with us for USD 449 per person.
- Flying doctors insurance, e can arrange for USD 50per person.
- Tips to the driver/guide and all items of personal nature/use.
- And all not mentioned in the itinerary above.
Tembelea
Hifadhi Zetu Kuwa Mzalendo.
By Faulisa - asilialive.blogspot.com
KARIBUNI.
Subscribe to:
Posts (Atom)









