Thursday, September 20, 2012

Tonga Tailoring Wanakufanya Upendeze watembelee Namvua Plaza gorofa ya pili






























MUONEKANO MPYA WA MUINGIZAJI ELIZABETH MICHAEL 'LULU'

Muigizaji nyota wa Filamu nchini Elizabeth Michael a.k.a Lulu (17) anaehusishwa na kifo cha Muigizaji Mwenzie, Marehemu Steven Kanumba, aliye fariki dunia Aprili 7 mwaka huu nyumbani kwake maeneo ya Vatican Sinza Jijini Dar es Salaam. Akiwa katika muonekano mpya tokea amepelekwa lupango. Kwa sasa msanii huyu anaonekana kunenepa wakati kila mtu anaamini yuko kwenye kipindi kigumu sana pengine kuliko vipindi vyote katika maisha yake tangu azaliwe.

Magazeti ya leo Alhamisi 20th September 2012