Thursday, June 7, 2012

Je! Mke au Mume Waweza Kumpata DISCO? Baasi usikose "The Mboni Show" kujua undani wa swala hili. Kila Alihamis @9:00 - 10:00 @EATV USIKATE TAMAA .

AsiliaLive: Asante marafiki wote waliokuwa nami katika kipindi...: Asante marafiki wote waliokuwa nami katika kipindi kigumu kilichopita, Naamini yote ni mipango ya mungu mwanadamu kupitia majaribu katika du...
Asante marafiki wote waliokuwa nami katika kipindi kigumu kilichopita, Naamini yote ni mipango ya mungu mwanadamu kupitia majaribu katika dunia hii. Kila mwanadamu ana mapito yake hivyo basi yatupasa tusikate tamaa bali tumtegemee mungu pekee yake kwani yeye ndie kila kitu. USIKATEE TAMAA WAKATI BADO ASUBUHI.