Wednesday, February 3, 2016

Instagram kwa kukuza mambo ni shida


Etiii  mwanamuziki Diamond Platnumz na Idriss Sultan Waonyeshana Uanaume Laivu

Leo Diamond na Idriss Wameonyesha kuwe wenyewe ni wanaume pale ambapo Diamond Platnumz Amemuwish Happy Birthday Idriss na Idriss kujibu bila tatizo lolote huku kukiwa na fukuto la ugomvi mtandaoni kati ya wapenzi wao Wema Sepetu na Zari Hassan

Wabongo tujifunze kuwa na bifu na mtu mmoja sio wote ni wabaya kwako utapoteza wengi wanaokuhitaji naamini fans wenu wanajali sana mahusiano yenu ya wanawake waachieni wanawake jamani big up to all Platnumz na Idriss

No comments: