Saturday, May 4, 2013

MWANAFUNZI WA CHUO CHA IFM -DAR AFARIKI DUNIA KWA KULISHWA SUMU NA MKE WA MTU.....

Habari   zilizotufikia  toka  IFM- Dar es salaam  ni  kwamba  mwanafunzi  mmoja ambaye  bado  hatujafanikiwa  kulipata  jina  lake  amefariki  dunia  kwa  kulishwa  sumu  katika  chakula  alicholetewa  na  mpenzi  wake  ambaye  ni  mke  wa  mtu......

Taarifa  zaidi  zinadai  kwamba Mwanafunzi huyo alikuwa na uhusiano wa karibu sana na mke  wa mtu  ambaye  mbali  na  starehe  za  kimapenzi  alikuwa  pia  anampekea  chakula  cha  jioni

Baada ya  mchezo  huo  kudumu  kwa  muda, mume wa  mwanamke  aliusoma  mchezo  mzima  na  kuandaa  tego  la  kuwaangamiza  wote....

Magazeti ya leo Ijumaa ya 4th May 2013