Thursday, February 4, 2016

ROYAL WEDDING YA WAHAYA……







Wamependeza hadi basi Mungu awatangulie Kwenye maisha Haya Mapya zidisheni upendo mzidi kupendeza

Kupendeza raha jamani call 0754 590 221 Arusha Town Upendeze






Wema Sepetu amekua Mtanzania wa pili kufikisha followers milioni moja Instagram


Ikiwa ni siku chache baada ya mwimbaji Diamond Platnumz kuwa msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa na wafuasi milioni 1 kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, mwigizaji Wema Sepetu ameiandika rekodi kwa kuwa staa wa pili Tanzania kufikisha followers milioni moja.

Huku Tanzania ikitajwa kuwa ya kwanza kwa utumiaji wa mtandao wa Instagram Africa, mastaa wengine wenye followers wengi ni pamoja na Vanessa Mdee mwenye zaidi ya laki nane na elfu 40, Jokate mwenye zaidi ya laki nane na elfu sitini na Ommy Dimpoz mwenye zaidi ya laki saba.

Msanii gani ukisikia nyimbo zake unahisi uwepo mungu


                                                                      Rozi Muhando
Christina Shusho

                                                                  Flora Mbasha

                                                                  Upendo kilahiro