Friday, January 29, 2016

Idris na Wema watarajia mtoto mwezi July 2016


Akizungumza katika kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM Jumanne hii, Idris alisema mpenzi wake huyo anatarajia kupata mtoto baada ya miezi 6 au 7 hali ambayo imetafsiriwa na wadau wa mambo kuwa huenda mwanadada huyo akawa na mimba ya miezi 3 au 2.
“Yes very soon natarajia kupata mtoto kama miezi 6 au 7 ijayo,” alisema Idris. Pia Idris alisema bado hajatambua jinsia ya mtoto anayetarajia kujifungua mpenzi wake.
“No hatujui mwenzangu anataka surprise. Mimi nataka kujua kabla kwahiyo bado hatujafikia muafaka, naogopa nisije nikawa nanunua vigauni akaja Wa kiume bure,” alisema.

Aliongeza, “Huwezi kuwazuia watu kuongea, waache waongee maana sometimes watu ni wagumu kupokea changes lakini siku zinavyoenda naamini wataelewa tu.”

Wema na Idris Wafunguka kuhusu mapenzi yao

Idris na wema wafunguka kuhusu mahusiano yao na zuri zaidi madaam anategemea kupata mtoto soon .  tunakuombea mungu akupe afya njema wewe naa familia yako kiukweli timu wema mmuacheni wema aapate muda wakutulia na kupumzika ili kumpa mtoto uwezo wa kukua na afya safi sana idris mungu akupe ujasiri wa kukubaliana na hali halisi we proud to have u &madaam

Hi my people

Natumaini nyote mtakuwa powa mnaendelea vema na majukumu ya kulipeleka gurudumu hili la taifa kufikia malengo ya nchi yetu.Tumemaliza siasa na majukumu ya shule sasa ni kusaka shekeli mpo ooo hapoa jini hakulimwi jamani

Tanzania Asilialive imerudi hewani tukiwa  mji wa joto soon tutakufikia ulipo tukiwa na vitu vizuri vitakavyo kidhi mahitaji yako na familia kwa ujumla