Wednesday, October 31, 2012

WANAFUNZI WANUSURIKA NA BOMU LA MACHOZI JIJINI ARUSHA

Kamanda wa Operesheni Maalumwa Jeshi la Polisi, Peter Mvulla akiwa ameshika bomu la kutoa machozi aloilolichukua kutoka kwa mmoja wa wanafuzi wa Shule ya Sekondari Kimnyaki iliyopo wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha. Bomu hilo lilirushwa kwa wanafunzi hao askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) bila ya kulipuka na kuwaepusha na madhara ambayo yangeweza kutokea. (Picha na Grace Macha)

Magazeti ya leo Jumatano 31st October 2012