
Club ya Real Madrid ya Hispania imemchukua mkali wa soka kutoka Chelseakwa mkopo wa msimu mmoja Michael Essien ambae ni mzaliwa wa Ghana .
Essien ana miaka 29 tu toka aanze kupumua lakini ana miaka 12 tu toka aanze soka.. alianza kwa kuichezea Bastia kuanzia 2000 – 2003 na kuifungia magoli 11, 2003-2005 akaingia Lyon aliyoifungia magoli 8, 2005akaingia Chelsea aliyoifungia magoli 17 mpaka 2012 ambapo sasa amekwenda Real Madrid kwa mkopo.
No comments:
Post a Comment