Tuesday, October 30, 2012

KIMBUGA CHAZIDI KUITESA MAREKANI, UMEME WAZIMIKA HOSPITALINI – NEW YORK, WAUGUZI WAHAHA KUHAMISHA WAGONJWA.

Majenereta ya back-up yameshindwa kufanya kazi wakati umeme ulipokatika baada ya kimbuga cha Sandy kilichoikumba Marekani  kuathiri miundombinu hiyo katika hospitali ya chuo kikuu cha New York.

Wauguzi na magari ya dharura yamekuwa yakifanya kazi ya kuhamisha wagonjwa kuelekea hospitali zingine katika hali ngumu kutokana miti kuanguka barabarni pia kuziba njia katika daraja la Boston.

Tayari zaidi ya wakazi milioni moja na nusu hawana umeme mjini Atrantic na New Jersey na watu zaidi ya milioni wameombwa kuhama makazi katika miji mbalimbali.

No comments: