Thursday, November 1, 2012

Maandalizi ya Ufumbuzi wa jiji la Arusha yanaendelea

                                        Hapa ni uwanja wa sheihk Aman abeid Karume  ukiandaliwa
                                 Mvua imetawanya watu kidogo uwanjani hapo



Wakati Maandalizi ya Kumsubiri Raisi Kikwete Kulifungua jiji la Arusha yakiendelea hapa mjini Arusha huku mvua kidogo ikinyeesha kuondoa vumbi hali ya hewa imebadilika ubaridi na utulivu ukionekana kila pande za mji.

Tunahitaji Amani Arusha tena amani tunayoeleta sisi wakazi wa Arusha mjini.

No comments: