
Mwili wa Goldie Ukiwa umebebwa kwenye jeneza
Andrew Harvey Mume wa Goldie

Andrew Harvey Mume wake akimuangalia Goldie kwa mara ya mwisho
Dada wa Goldie na rafiki zake
Wa pili kutoka kushoto ni mtangazaji wa Channel O Denrele Edun ambae alikua rafiki mkubwa wa Goldie na ndio Goldie alifia mikononi mwake akiwa amembeba, huu msiba ulihudhuriwa na watu wachache walioalikwa tu huko Ikoyi Lagos Nigeria.
No comments:
Post a Comment