Tuesday, May 7, 2013

PINDA ATEMBELEA KANISA LA OLASITI NA KUZUNGUMZA NA WAUMINI NA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Viongozi na Waumini wa Kanisa Katoliki la Olasiti Jijini Arusha  May 7,2013 alikokwenda kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo May 5,2013 na kusababisha vifo na majeruhi.


 Paroko wa Kanisa Katoliki la Olasiti la Arusha Peddy Castelino akiomba wakati Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda alipotembelea kanisa hilo May 7,2013 kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo May 6,2013 na kusabisha vifo na majeruhi.

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Partook wa Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha, Peddy Castelino  (kulia) May 7,2013  wakati alipotembelea kanisa hilo May 6,2013 ambako ulitokea  mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa Pole Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu (kushoto ) na Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu, Francisco Montecillo  (katikati), May 7,2013  baada ya kutembelea  Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha ambako May 6,2013 ulitokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa Pole Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu, Francisco Montecillo  , May 7,2013,  baada ya kutembelea  Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha ambako May 6,2013 ulitokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.  Kushoto ni Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: