Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Waziri Mkuu wa
Zimbabwe Bwana Morgan Tsvangirai ikulu jijini Dar es Salaam leo
mchana.Baadaye Bwana Tsvangirai aliondoka kurejea nchini kwake

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Waziri Mkuu wa Zimbabwe Bwana Morgan Tsvangirai ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Baadaye Bwana Tsvangirai aliondoka kurejea nchini kwake
(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment