Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,na Rais wanZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisisitiza jambo alipokua akizungumza na Viongozi wa Tawi la CCM Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui,wakiwemo Viongozi wa Jumuiya mbali mbali za Chama hicho katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar jana,Makamo Mwenyekiti alifanya ziara maalum ya kusalimiana na Viongozi hao ikiwa ni pamoja na kuimarisha Chama cha Mapinduzi,(CCM) (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wapili kulia) akizungumza na Viongozi wa Tawi la CCM Afissi
Kuu ya CCM Kisiwandui,wakiwemo Viongozi wa Jumuiya mbali mbali za Chama hicho katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar jana,Makamo Mwenyekiti alifanya ziara maalum ya kusalimana na Viongozi hao ikiwa ni pamoja na kuimarisha Chama cha Mapinduzi,(CCM) (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,

Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment