Thursday, January 17, 2013

WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU WATOA MAONI YA KATIBA MPYA

 Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Hanifa Masaninga (kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu mfumo uandaaji wa maoni ya wananchi katika taarifa rasmi (Hansard) kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu, Bw. Jamanne Sagini (wa pili kushoto) wakati waliotembelea ofisi za Tume hiyo
 Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Nenelwa Mwihambi (kulia) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya wanachi kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu, Bw. Jamanne Sagini (Kaunda suti nyeupe) wakati waliotembelea ofisi za Tume hiyo


 Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Solanus Nyimbi (kushoto) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya wanachi kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu, Bw. Jamanne Sagini (kulia) wakati waliotembelea ofisi za Tume hiyo


Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini (aliyesimama) akiwasilisha maoni ya wafanyakazi wa Ofisi hiyo kuhusu Katiba Mpya kwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika katika Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam

 (PICHA NA TUME YA KATIBA)

No comments: