Monday, May 20, 2013

PICHA BAADHI ZA MBUNGE WA IRINGA ( PETER MSIGWA )BAADA YA KUONGOZA WANANCHI KUFANYA FUJO


 Mbunge  wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwasili  eneo la vurugu kabla  ya kuanza kwa  vurugu  hizo
 Machinga  wakisukuma gari ya  mbunge Msigwa
 Abiria  na  wapiga  debe  stendi kuu  wakinawa maji baada ya  kupigwa mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha  na askari  wa FFU


 Hali  ikiendelea  kuwa  tete  kwa machinga  kufunga barabara  kuu  ya  Iringa  Dodoma na ile ya mashine  tatu

No comments: