Tuesday, March 19, 2013

LWAKATARE ASOMEWA MASHITAKA YA UGAIDI

                       Lwakatare akionesha alama ya vidole viwili wakati akipelekwa kizimbani.
          Wanachama na mashabiki wa Chadema wakionesha alama ya vidole viwili kabla ya kesi kuanza.


                         Wakili Peter Kibatara akiweka mambo sawa kabla ya kuanza kumtetea Lwakatare.
 Wakili Nyaronyo Kicheere akimuelekeza jambo Godbless Lema baada ya kesi kuahirishwa, kulia ni Tundu Lisu.
              Wanachama wa Chadema wakiwa wametawanyika nje ya mahakama baada ya kesi kumalizika.
                             Mke wa Lwakatare akitahayari baada ya mumewe kunyimwa dhamana.
                                    Lwakatare akipelekwa rumande baada ya kunyimwa dhamana.
Wakili wa Lwakatare, Tundu Lisu (kulia) akimuelekeza jambo Mbuge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wakati wakijaribu kuandaa mipango ya dhamana.

Mkuu wa kitengo cha usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilfred Lwakatare leo amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka manne ya ugaidi.

Lwakatare amepandishwa kizimbanai sambamba na kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Ludovick Joseph.  Katika kesi hiyo Lwakatare anatetewa na mawakili watano, Tundu Lisu, Profesa Safari, Nyaronyo Kicheere, Mabere Marando  na Peter Kibatara

No comments: