Saturday, July 7, 2012

WANAMICHEZO WA TANZANIA WANAOKWENDA KUSHIRIKI MICHEZO YA OLYMPIC WAKABIDHIWA BENDERA KUIWAKILISHA NCHI UINGEREZA JULAI 27

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makala, akimkabidhi Bendera ya Tanzania Samson Ramadhani, kwa niaba ya wenzake (pichani) wanamichezo wanaokwenda kushiriki mashindano ya Olympic nchini Uingereza inayotarajia kuanza Julai 27 mwaka huu. Kulia ni Meneja Mkazi wa Coca Cola , Demeji Olamiyani

 Naibu Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Amos Makala, akiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo hao, baada ya kuwakabidhi Bendera ya Tanzania.



No comments: