Thursday, January 31, 2013

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO


 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mhe Freeman Mbowe (kulia), Mhe Godbless Lema (katikati- Arusha mjini) pamoja na Mbunge wa Musoma Mjini, Mhe Vicent Nyerere wakielekea katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo. Mbunge Lema amerudi tena Bungeni baada ya kushinda kesi yake.

 Baadhi wa wabunge wakielekea katika ukumbi wa mkutano Bungeni mjini Dodoma.
 Waziri wa nchi, Ofisi ya ya Rais (Mahusiano na Uratibu) na Mbunge wa Bunda, Mhe Steven Wasira (kulia) akikumbatiana na Mbunge wa Arusha mjini, Mhe Godbless Lema katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.
Wabunge wa Iramba Magharibi Mhe Mwingulu Nchemba- CCM (kulia), Mhe Joseph Selasini (Mbunge wa Rombo- CHADEMA ) na Mbunge wa NCCR - MAGEUZI, Mhe Moses Machali wakiwa katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma.

(Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

No comments: